HUKU SI NI KUMCHEZEA SIMBA SHARUBU.. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HUKU SI NI KUMCHEZEA SIMBA SHARUBU..

DSC07933Dereva tax ameamua kutumia njia ya Treni kuepuka msongamano wa magari katika barabara ya kutokea kigogo kuelekea ubungo barabara hiyo imekua nafoleni kubwa baada ya waendesha magari kuamua kuitumia ili kukwepa foleni barabara ya Ubungo hadi kuingia katikati ya jiji ambayo ipo katika matengenezo ya utanuzi.Picha chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages