HUDUMA MPYA KUTOKA KAMPUNI YA CONNECT MOJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

HUDUMA MPYA KUTOKA KAMPUNI YA CONNECT MOJA


Kampuni ya Connectmoja Technologies Ltd Inakuletea Huduma Mpya ya Tuambie Kuupitia Katika Tovuti yao ya www.vijanaajira.co.tz

Huduma hii  imelenga kuwasaidia vijana hasa wale wanaohitimu vyuo na ambao wameshahitimu vyuo kufikia ndoto zao za kupata Ajira.

Huduma hii itamwezesha kijana Kujaza taarifa zake chache akiambatanisha namba yake ya Simu na Email address. Kisha Taarifa hizi zitahifadhiwa na Kutumika kuwatafutia ajira na kuwapa mafunzi ziada ya Ujasiriamali. Hakuna Gharama Atakayotozwa yeyote kwa kujiunga na Mtandao Huu

Kwa Maelezo Zaidi : 
      Call: +255 714 215 600

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages