Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (kulia) na mdau
Mr. Paul (kushoto) wakiwa washika chupa ya Johnnie Walker blue labelMkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon (wa pili kushoto)
katika picha ya pamoja na Afisa mawasiliano wa SBL Bi. Hawa (wa pili
kulia) wakiwa na wadau Paul(kulia) na Mac(kushoto) waliohudhuria katika
hafla ya ‘Johnnie Walker Mentorship’ iliyoandaliwa na Kampuni ya Bia ya
Serengeti jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti waliohudhuria hafla hiyoMabalozi
wa kinywaji cha Johnnie Walker kutoka Kampuni ya Bia ya Serengeti
wakionesha wageni waalikwa moja ya aina ya Johnnie WalkerBaadhi
ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia
kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka
kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(hayupo pichani)Baadhi
ya wageni waliohidhuria hafla ya Johnnie Walker Mentorship wakifuatilia
kwa makini namna ya utumiaji wa Whisky aina ya Johnnie Walker kutoka
kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve
Gannon(hayupo pichani)Mtaalamu
wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua kabisa
uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla
hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.Mtaalamu
wa cocktail Mr. Mikey, akimimina mchanganyiko wake murua kabisa
uliotokana na vinywaji vya Johnnie Walker Mentorship maalum kwa hafla
hiyo iliyofanyika Escape Club jijini Dar es Salaam.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)