AJALI MBAYA YATOKEA KIBAMBA MCHANA HUU NA KUJERUHI MADEREVA WOTE WAWILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI MBAYA YATOKEA KIBAMBA MCHANA HUU NA KUJERUHI MADEREVA WOTE WAWILI

Gari dogo aina ya toyota double cabin ikiwa imepinduka vibaya baada ya kugongana uso kwa uso na gari ndogo aina ya Toyota Rav 4 maeneo ya kibamba muda huu.Mpaka tunaenda mitamboni haijafahamika kama kuna mtu amepoteza maisha
Hili ndio gari ndogo aina ya toyota double cabin iliyopinduka na kuumia vibaya baada ya kugongana na gari aina ya Rav 4 maeneo ya Kibamba muda huu
Hii ndio Rav 4 iliyogongana uso kwa uso na gari iliyopinduka muda huu maeneo ya kibamba na kujeruhi dereva wa Double cabin na Rav 4
Askari wa Usalama Barabara akisimamisha magari yaliyokuwa yakipita kwaajili ya tahadhari

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages