Mwalimu
wa shoo ya pamoja ya warembo wanaowania kushiriki kinyang'anyiro cha
kumsaka Miss Kibaha 2013, Bob Rich, akiwafua warembo hao wakati wa
mazoezi yao yanayoendelea katika Ukumbi wa Vijana Kinondoni. Shindano
hilo linatarajia kufanyika Mei 17 katika Ukumbi wa Kontena Kibaha.
Warembo hao wakiwa katika picha ya pamoja yapozi wakati wa mazoezi yao.
Bob Rich, akiendelea kuwanoa warembo hao katika Ukumbi wa Vijana kinondnoni.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)