Kocha
wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'
akitoa maelekezo kuhuzu mchezo huo walipocheza timu ya mpira ya mabondia
na TASWA FC
Bondia Daudi Muhuzi akishindana na Mbuyu wa timu ya TASWA FC Majuto Omari wakati wa mpambano wao |
Kocha wa kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D' akisisitiza jambo wakati wa mapumziko |
Mchezaji wa timu ya Taswa akipambana na bondia kuwania mpira |
SUPER D BOXING COACH AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA MAPUMZIKO WA MCHEZO HUO.PICHA NA SUPER D |
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)