TASWIRA KUTOKA MAHAKAMANI MJINI IRINGA WAKATI MBUNGE WA IRINGA MJINI ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TASWIRA KUTOKA MAHAKAMANI MJINI IRINGA WAKATI MBUNGE WA IRINGA MJINI ALIPOFIKISHWA MAHAKAMANI LEO

 Mbunge  wa Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CHADEMA,Mh. Peter Msigwa akishuka katika gari la  polisi baada ya kufikishwa mahakamani mchana  huu.
 Mbunge  Peter Msigwa akishuka katika gari hilo la polisi tayari kwa kuelekea  chumba cha mahakama
 Mbunge Msigwa akiwa na gazeti mkononi baada ya  kufikishwa mahakamani  leo
 Watuhumiwa  wengine wa vurugu  za machinga  na polisi  wakishuka katika karandinga la polisi.
 Wakili  wa Msigwa  kulia  akiteta  jambo nje ya mahakama
 Kada wa Chadema Frank Mwaisumbe akiingia na viongozi  wengine wa chadema mahakamani hapo huku  wafuasi  wao  wakizuiwa nje ya mahakama
 Wafuasi  wa Chadema  wakiwa  wamezuiliwa nje ya viwanja  vya mahakama kuu kanda  ya Iringa  wakati mbunge  alipofikishwa katika mahakamani   mchana  huu
Ulinzi mkali kweli kweli.PICHA ZOTE NA MTANDAO WA MATUKIODAIMA.COM

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages