Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente IKULU Zanzibar - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar Dr Ali Shein Akutana Kwa Mazungumzo na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente IKULU Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi anayeshuhulikia mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento, (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento, (kushoto).Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages