RAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA SERIKALI YA MPITO YA MADAGASCAR ALIETUA DAR JIONI HII KWA MAJADILIANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AMPOKEA RAIS WA SERIKALI YA MPITO YA MADAGASCAR ALIETUA DAR JIONI HII KWA MAJADILIANO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimlaki Rais wa Serikali ya Mpito ya Madagascar Mhe Andry Rajoelina aliyewasili leo jioni ya Ijumaa Mei 3, 2013 kwa ziara ya kikazi ya siku mbili  katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages