RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASHIKADAU WA SMART PARTNESHIP JANA IKULU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AKUTANA NA WASHIKADAU WA SMART PARTNESHIP JANA IKULU

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kwenye hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership  Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washikadau toka katika mashirika binafsi na ya umma  walioalikwa katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya mkutano wa Smart Partnership Mei 3, 2013 Ikulu jijini Dar es salaam.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages