Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri
Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah alipowasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5, 2013 tayari kuanza ziara rasmi ya
siku mbili katika nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah
Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah wakipokea mashada ya mauwa alipowasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5, 2013 tayari
kuanza ziara rasmi ya siku mbili katika nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri Sabah
Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah wakiingia sehemu ya mapokezi na kukagua
gwaride rasmi mara tu alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Kuwait City leo Mei 5, 2013 tayari kuanza ziara rasmi ya siku mbili
katika nchi hiyo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mtawala wa Dola ya Kuwait Amiri
Sabah Al-Ahmad Al-Jaber Al-sabah katika mazungumzo mara baada ya
kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kuwait City leo Mei 5,
2013 tayari kuanza ziara rasmi ya siku mbili katika nchi hiyo.PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)