nssf yanogesha tamasha la michezo la mei mosi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

nssf yanogesha tamasha la michezo la mei mosi


Mshambuliaji wa timu ya DHL, Regan Kimaro akimtoka beki wa timu ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Gasper Tumbeza (kulia)
katika mchezo wa tamasha la michezo la Mei  Mosi kwa Makampuni lililofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam. 
 Mshambuliaji wa timu ya NSSF, akiwa katika harakati za kufunga wakati wa tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni.
Kikosi kamili cha timu ya NSSF kilichoshiriki tamasha la michezo la Mei Mosi kwa Makampuni na kufanyika katika viwanja vya Leaders Club jijijni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages