Kocha
wa timu ya NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro akipimwa afya na Dk.
Frida Francis kutoka Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kabla ya
kuanza kwa safari ya kwenda Dodo kupambana na timu ya Wabunge siku ya
Jumamosi Juni Mosi kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Pambano hilo
litaoneshwa Live kupitia Star Tv.
Dk.
Margreth Mtaki kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo akimpima
afya mshambuliaji wa timu ya soka ya NSSF Media Kombaini, Maulid Kitenge
kabla ya safari ya kwenda Dodoma kupambana na timu ya Wabunge.
Salum Mkandemba akichukuliwa vipimo vya afya.
Wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mazoezi ya lkujiandaa na mnchezo wao dhidi ya Wabunge.
Wachezaji
wa timu ya NSSF Media All Stars wakiwa katika mzoezi ya kujiandaa na
mchezo wao kwenye Uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Mazoezi ya viungo
Kocha wa NSSF Media All Stars, Sanifu Lazaro (kulia) akiongoza mazoezi ya timu hiyo.
Mbinu za ushindi.
Kiongozi
wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu (kushoto)
akibadilishana na mchezaji wa timu hiyo, Linus Bugogwa, wakati wa
mazoezi ya timu hiyo kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe jijini Dar es
Salaam. Timu hiyo imeindoka leo kwenda mjini Dodoma kupambana na timu ya
wabunge.
Wachezaji wa timu ya NSSF Media All Stars wakijifua kwa ajilki ya mchezo wao dhidi ya Wabunge.
Maandalizi ya mchezo.
Kiongozi
wa msafara wa timu ya NSSF Media All Stars, Juma Kintu akitoa maelekezo
kwa wachezaji wa timu ya Netiboli ya NSSF Media All Stars baada ya
mazoezi yao ya mwisho kabla ya safari ya kwenda Dodoma kukipiga na timu
ya Wabunge.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)