Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe Akiteta Jambo na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye Walipokutana eneo la Bomang'ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika ziara yake. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe Akiteta Jambo na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye Walipokutana eneo la Bomang'ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika ziara yake.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Goodluck Ole Medeye. Viongozi hao walikutana juzi eneo la Bomang'ombe, wilayani Hai, kila mtu akiwa katika ziara yake. Wakati Mbowe alikuwa anaendelea na ziara ya kuzungukia wananchi latika vijiji mbalimbali jimboni kwake Hai, Medeye alikuwa katika ziara yake binafsi maeneo ya jimbo hilo.Picha na Chadema

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages