Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu katibu mkuu wa CHADEMA taifa, Zitto Zuberi Kabwe akiunguruma mbele ya mamia ya wanachama wa Chadema Mjini Tabora Jana Wakati wa Uzinduzi wa matawi ya chama katika kila Kata ya Mji huo.
Wakati
huo huo chadema kimefanya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi wa vijiji
katika jimbo la Naibu Katibu Mkuu wa CCM mwigulu nchemba Zilifunguliwa
na Ally Bananga .Uchaguzi ni wa Vijiji 8 na Vitongoji 28.Picha na Habari na Chadema
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)