MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHISHWA UPYAAAA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2012 KUSAHISHWA UPYAAAA

http://1.bp.blogspot.com/-7qFwN9eBGa4/UGqyL5ldL9I/AAAAAAAALfc/yiadF4qqQ40/s1600/NECTA(10).jpg

TAARIFA KUTOKA BUNGENI MUDA HUU AMBAPO WAZIRI LUKUVI AMETANGAZA KURUDIWA UPYA KUSAHISHWA KWA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE KWA MWAKA 2012,HII IMETOKANA NA MAPENDEKEZO YALIYO TOLEWA NA TUME ILIYO UNDWA KUCHUNGUZA TATIZO LA WANAFUNZI WENGI KUFELI KATIKA HUO MTIHANI,PIA AMESITISHA KUANZA KUTUMIKA KWA VIWANGO VIPYA VYA UFAULU.

serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages