Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Gharib Bilal Afungua Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Gharib Bilal Afungua Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS)

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya madokta wa Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili, wakati alipowasili Ukumbi wa Kunduchi Beach Hoteli leo Mei 2, 2013 kwa ajili kufungua Kongamanao la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS).
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo leo Mei 2, 2013 katika Ukumbi wa Kunduchi Beach Hotel, lililoandaliwa na Chuo hicho.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili,(MUHAS) wakati wa ufunguzi wa Kongamano hilo leo Mei 2, 2013 katika Ukumbi wa Kunduchi Beach Hotel, lililoandaliwa na Chuo hicho
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo, wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, alipokuwa akiwahutubia, kwenye Ufunguzi wa Kongamano la siku mbili la Sayansi ya Tiba, lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Afya Muhimbili (MUHAS) leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo baada ya kulifungua rasmi leo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages