Makamu wa Rais Dkt. Bilal Awasili Mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Makamu wa Rais Dkt. Bilal Awasili Mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shinyanga kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili leo Mei 04-2013. Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages