MAHAKAMA YA RUFAA YAMRUDISHIA UBUNGE ALIYEKUWA MBUNGE WA SUMBAWANGA AESH HILAL ALIYEWEKEWA PINGAMIZI NA ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO HILO WA CHADEMA NORBERT YAMSEBO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAHAKAMA YA RUFAA YAMRUDISHIA UBUNGE ALIYEKUWA MBUNGE WA SUMBAWANGA AESH HILAL ALIYEWEKEWA PINGAMIZI NA ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO HILO WA CHADEMA NORBERT YAMSEBO

Mahakama ya Rufaa imemrejeshea ubunge mbunge wa Sumbawanga Aesh Hilal leo ambaye alivuliwa ubunge mara baada ya aliyekuwa mgombea ubunge kupitia chadema Norbert Yamsebo kuweka Pingamizi.Awali mahakama kuu ilikuwa imemvua ubunge lakini akakata Rufaa.

Mahakama kuu ilikuwa imekubaliana na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA Mwl Norbert Yamsebo aliyekuwa amefungua kesi kupinga ushindi wa Hilal.

Endelea Kuwa Nasi na Tutazidi kuwajuza kadri habari zinavyotufikia

Stay tuned @ Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages