MAFUNDI: TUPO KAZINI TUNAREKEBISHA UMEME - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAFUNDI: TUPO KAZINI TUNAREKEBISHA UMEME

Mafundi wa Shirika la Umeme Tanzania Tanesco wakiwa juu ya Nguzo za Umeme maeneo ya Tabata Chama wakiwa wanatengeneza na kurekebisha baadhi ya nyaya za umeme ambazo zilileta matatizo na kupelekea wakazi wa Tabata Segerea kukosa umeme takribani masaa zaidi ya nane.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages