JK AZINDUA KAMPENI YA LISHE BORA NCHINI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JK AZINDUA KAMPENI YA LISHE BORA NCHINI LEO


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wakipozi na wakuu wa mikoa mbalimbali waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wakipozi na marafiki wa maendeleo na wafadhili waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Mama Maria Nyerere, Naibu Waziri wa Afya Dr. Seif Rashid wazalishaji vyakula na vinywaji mbalimbali waliohudhuria
Mama Salma Kikwete akimpongeza Mama Maria Nyerere kwa kupokea tuzo kwa niaba ya Baba wa Taifa katika kutambua mchango wake katika kuendeleza lishe katika sherehe za uzinduzi wa kampeni ya Lishe Bora leo viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages