Kamanda
wa polisi Mkoa wa Dodoma David Misime akiwaonyesha wandishi wa Habari
Mabomba ya plastik Inayotumika kama Mitambo ya kutengenezea Pombe Haramu
Aina ya Gongo Mara Baada ya kuikamata wilayani Kongwa jana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma David Misime Akifungua Moja
ya Madumu yaliyokamatwa na Pombe Haramu ya Gongo yaliyokamatwa Wilayani
Kongwa huku watu wanne wakishikiliwa na jeshi hil;o.
Haya ndio mabomba ya kutengenezea pombe haramu PICHA NA JOHN BANDA.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)