Feza Kessy na Nando waiwakilisha Tanzania kwenye Shindano la Big Brother-The Chase 2013 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Feza Kessy na Nando waiwakilisha Tanzania kwenye Shindano la Big Brother-The Chase 2013


IMG_0209
Mwakilishi kutoka Tanzania Nando akihojiwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Ik wakati wa uzinduzi wa show hiyo.Kushoto patna wa Nando Mshiriki kutoka  Namibia Cleo.
IMG_0226
Mwakilishi wa Tanzania Feza Kessy akiwasalimu mashabiki wake kwa kuwapungia  bendera ya Tanzania. Kulia ni mtangazaji wa Shindano la Big Brother The  Chase 2013 Ik.
IMG_0231
Mtangazaji IK akifanya mahojiano na Patna wa Mwakilishi wa Tanzania Mshiriki  kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa Shindano la Big Brother The  Chase lililozinduliwa rasmi leo jijini Johannesburg Afrika Kusini ambapo washiriki watakaa ndani ya jumba hilo kwa siku 90 na mshindi
kujinyakulia kitita cha Usd 300,000. Kulia ni Feza Kessy mshiriki
kutoka Tanzania.
IMG_0235
Mtangazaji IK akimtambulisha rasmi mshiriki kutoka Tanzania Feza Kessy kwa Patna  wake Mshiriki kutoka Ghana Elikem wakati wa uzinduzi wa shindano hilo  leo jijini Johannesburg. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages