Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo, akiongea
na mshindi wa droo ya kwanza ya Winda na Ushinde kwa njia ya simu
iliyochezeshwa leo katika ofisi za Kampuni ya bia ya Serengeti jijini Dar es
Salaam
Meneja mauzo na masoko wa kampuni ya Push Mobile Media
Rugambo Rodney(katikati) akiwaonesha kitu Afisa mwandamizi wa PWC Tumainieli
Malisa(kushoto) na Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo(kulia)
Meneja wa Bia ya Serengeti Allan Chonjo (katikati)
akizungumza kwa njia ya simu na mshindi wa 1,000,000 wakati wa kuchezesha droo
ya kwanza ya Winda na Ushinde leo katika ofisi za Kampuni ya bia ya Serengeti,
akiwa pamoja na Meneja mauzo na masoko Rugambo Rodney(kulia) na Afisa
mwandamizi wa PWC Tumainieli Malisa(kushoto).
Meneja wa bia ya Serengeti Allan Chonjo, akimtangaza
Honest Minja(38) mshindi wa Tsh 1,000,000 wa droo ya kwanza ya Winda na Ushinde
kwa wana habari katika droo iliyochezeshwa leo katika ofisi za Kampuni ya bia
ya Serengeti jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)