Dk Shein akutana na balozi wa Indonesia leo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dk Shein akutana na balozi wa Indonesia leo


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania  <ke Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania Mhe Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akimsindikiza mgeni wake Balozi wa Indonesia nchini Tanzania  Mhe Zakaria Anshar,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi baada ya mazungumzo yao. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu, Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages