Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Mahusiano Biashara za Serikali NMB, Domina Feruzi kwa ajili ya wahanga wa bomu lililotokea hivi karibuni katika Kanisa la Mtakatifu Joseph ikiwa ni msaada wa benki ya NMB.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimshukuru Meneja Mwandamizi wa Masoko na Chapa NMB Rahma Mwapachu baada ya kupokea mfano wa hundi yenye thamani ya sh. Milioni 10 kutoka NMB kama msaada kwa wahanga wa bomu Arusha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)