AKUDO IMPACT YAWARUSHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

AKUDO IMPACT YAWARUSHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA

101_0472
 Wanenguaji wa bendi ya Akudo wakifanya vitu vyao ndani ya ukumbi wa world garden
101_0460
 warembo walikua kibao waliokuja kucheki shoo ya Akudo
101_0461
 Kamafa wa Radio 5 nae alikuwepo katika shoo hiyo
101_0472
101_0476
 hii meza ilikuwa imetawaliwa na kinywaji cha K-vant iliongozwa na meneja wa kanda wa kinywaji hicho Godluck
101_0479
 Watangazaji wa Radio 5 107:5 fm Arusha wa kwanza kulia ni Deo  G katikati mdada wa libeneke pamoja na mkaka Matungilo wakisakata rumba
101_0480
 watu waliyarudi balaa yote haya ni chini ya uthamini kampuni ya Tan Media Comunication kupitia kituo chao kikubwa cha   Radio ya watu Radio 5 Arusha
101_0526
101_0455
 Full mzuka kampani nzima ya Radio 5 ikiongozwa na kamafa
101_0493
 mwanadada Ashura Muhamedi Alikuwepo kwenye shoo iyo
101_0515
 ULIkua ukiingia tu unakutana na meza iliyopendeza vinywaji vya k-vant gin
101_0571
101_0506

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages