WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MAKAMU WA RAISI WA BG GROUP - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MAKAMU WA RAISI WA BG GROUP





Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda leo amekutana na Makamu wa Raisi na Mwenyekiti mtendaji wa kampuni ya BG Group ya Afrika mashariki Bwana Sam Iskander yeye na maofisa aliokuwa anawaongoza walikuwa na mazungumzo ya kikazi na waziri mkuu ofisini kwake Magogoni Dar es salaam. Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages