WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2013 WAKAMILISHA ZIARA YA KUTEMBELEA HIFADHI ZATAIFA ZA SAADANI, UDZUNGWA NA MIKUMI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WASHIRIKI WA MISS UTALII TANZANIA 2013 WAKAMILISHA ZIARA YA KUTEMBELEA HIFADHI ZATAIFA ZA SAADANI, UDZUNGWA NA MIKUMI

 Warembo wakijitiahidi kukwamua gari lao lililokuwa limekwama katika dimbwi na utelezi kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ili kuendelea na safari yao wakati wakiwa katika ziara yao ya kutembelea Hifadhi za Taifa. ambapo leo wamemalizia ziara hizo.
 Warembo hao wakipozi kwa picha katika gari la Hifadhi 
 Baada ya kuahirisha  kambi  ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 kambi hiyo  imeanza upya kwa kishindo kwa washiriki wote kufanya Ziara katika hifadhi  za Taifa za Saadani National Park, Udzungwa National Park na Mikumi National Park.

Wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Saadani washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 walipata nafasi ya kutembelea vivutio mbalimbali vinavyo patikana katika hifadhi hiyo pamoja na Kutolewa kwa Tuzo mbili ambazo ni Tuzo ya hifadhi za Taifa (National Parks Award)  pamoja na Tuzo ya Utalii wa ndani ya Nchi (Domestic Tourism Award).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages