Nahodha wa timu ya Bloggers FC (wamiliki wa mitandao ya kijamii ya blog), Muhidin Sufian (kushoto) akipokea jezi
kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Sapphire Hotel, Abdulfatah Salim ambazo zitavaliwa kesho katika bonanza la MEDIA DAY llitakalofanyika katika viwanja vya leaders kuanzia Mida ya Asubuhi.Katikati
ni Meneja wa Timu hiyo, Mroki Mroki ‘Father Kidevu
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)