Pichani
ni wafanyakazi wa kampuni Afrikan Barrik wakiwaonyesha wananchi jinsi
ya okoaji wakiwa kwenye maeneo yao ya kazi migodini kwenye maonyesho
yanayoendelea kwenye viwanja vya sheikh Amri Kaluta Abeid jijini Arusha
kwa siku Tatu yakiwa ni mwengelezo wa warsha ya mamlaka ya usalama
mahala pa kazi(OSHA) Banda
la wauzaji wa dawa kutoka china kampuni ya TIENS ambao nao walishiriki
katika maonyesho yaliondaliwa na mamlaka ya usalama mahala pa kazi OSHA
wakionyesha bidhaa wanazouza kwenye maonyesho hayo huku wakiwataka
wananchi wafike ofisini kwao jengo la KKKT jijini hapa kupata bidhaa zao
na pichani ni muuzaji wa dawa hizo bi Beatrice Kiimbi kama alivyokutwa
na kamera yetu kwenye uwanja wa sheikh Amri Abeid jijini Arusha. George
Alando meneja usalama na afya wa kampuni ya Layne Driling ya jijini
Morogoro akiwa na mwenzake kwenye banda lao wakati wa maonyesho ya
usalama mahala pa kazi yanayoendelea jijini Arusha na yatafunguliwa na
waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Peter Pinda siku
ya jumapili ambayo itakuwa ni siku ya ukoaji mahala pa kazi
George
Alando meneja usalama na afya wa kampuni ya Layne Driling ya jijini
Morogoro akiwa na mwenzake kwenye banda lao wakati wa maonyesho ya
usalama mahala pa kazi yanayoendelea jijini Arusha na yatafunguliwa na
waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Peter Pinda siku
ya jumapili ambayo itakuwa ni siku ya ukoaji mahala pa kazi. Picha zotE
na Mahamoud Ahmad Arusha
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)