Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo ya Utoaji huduma bora ya Afya na
Usalama kazini kwa niaba ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa kutoka kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundentia Kabaka
katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani kwenye
uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha Aprili 28, 20113. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji wa
mgodi wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimisha Siku ya
Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri Abeid
jijini Arisha, Aprili 28,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoanji katika banda la
maonyesho ya kuadhimisha siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye
uwanaja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Aprili 28,2013. Picha na
Ofisi yaWaziri Mkuu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)