na kwa upande wa mabondia wenyewe wamejinadi ya kuwa wamejiandaa
vema kwa mazoezi mazuri ya muda mrefu wa maandalizi ya pambano
hili,(imewachukua zaidi ya miezi mitatu kujiandaa) hivyo mchezo utakuwa
mzuri na maajabu yanaweza tokea kwa mtu kupata kipigo cha mbwa mwizi!
Pambano hilo lililoandaliwa na Bigright Promotion na litasimamiwa
na PST chini ya rais wake ndg Emmanuel mlundwa kwa dhamana ya UBO akiwa
kama mwakilishi wa Afrika mashariki





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)