TAARIFA
KWA VYOMBO VYA HABARI
Katika mwaka huu 2013,
Inatimia miaka13 tangu nianze kazi ya muziki.
Nashukuru MUNGU
tukopamojanapia, nashukuru umma wa Tanzania kwa kuendelea ku support muziki wa
Tanzania nakunipa nguvu mimi kama msanii.
Nashukuru vyombo vyotevya
habari vinavyoshiriki kikamilifu kukuza na kulinda sanaa ya Tanzania bila kujali
maslahi binafsi.
Tumeandaa sherehe kubwa
na nzuri ya miaka 13 ya LADY JAYDEE, katika muziki. Na mdhamini mkuu kwa upande
wa media ni East Africa TV. Shereheyamiaka 13 ya Lady Jay Dee katika muziki itaambatana
na uzinduzi wa album yangu ya sita inayokwenda kwa jina la NOTHING BUT THE TRUT
ambayo ina jumla ya nyimbo 10.
Katika sherehe hizo pia
kutakuwa na show ya nyimbo zote bora za Jay Dee nikishirikiana na baadhi ya wasanii
wenzangu hapa nchini.
Sherehe zitafanyika Ijumaa
tarehe 31 May 2013.
Nawakaribisha wote tufurahi
pamoja
Na Mungu awabariki
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)