MH WAZIRI MKUU APOKEA SHILINGI MILIONI KUMI ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KAMPUNI YA CHICO KUTOKANA NA AJALI YA KUANGUKA KWA JENGO JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MH WAZIRI MKUU APOKEA SHILINGI MILIONI KUMI ZA RAMBIRAMBI KUTOKA KAMPUNI YA CHICO KUTOKANA NA AJALI YA KUANGUKA KWA JENGO JIJINI DAR ES SALAAM

IMG_0832Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda leo amepokea shilingi milioni kumi kwa ajili ya rambirambi kutokana na ajali ya kuanguka kwa jengo la gorofa 16 jijini dar es salaam tarehe 29march 2013 na kusababisha maafa pichani ni Assistant President Chief Representative Tanzania kutoka kampuni ya China Henan International Cooperatin Group Co. Ltd Mr Guo Zhijian akimkabidhi waziri Mkuu hundi ya shilingi milioni kumi kama rambirambi ya kampuni hiyo makabidhiano hayo yamefanyika ofisni kwa waziri Mkuu Magogoni Dar es salaam  IMG_0836Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na kiongozi wa kampuni hiyo pamoja na maafisa wengine mara baada ya kupoke msaada wa fedha hizo.Picha na Chris Mfinanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages