MBUNGE WA ILEMELA ABAINISHA UBABAISHAJI MKUBWA ULIOFANYWA UJENZI WA BARABARA MPYA YA BUZURUGA, PASIANSI, SANGA, KILOLELI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MBUNGE WA ILEMELA ABAINISHA UBABAISHAJI MKUBWA ULIOFANYWA UJENZI WA BARABARA MPYA YA BUZURUGA, PASIANSI, SANGA, KILOLELI.

Mbunge wa wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza Highness Kiwia (wa kwanza kulia) akijionea uharibifu kwenye mitaro ya barabara  mpya iliyo katika zama zake za mwisho kuelekea kukabidhiwa kwa halmashauri, kupitia mvua iliyonyesha kwa muda mfupi tu hapa jijini kiasi cha mifereji hiyo kumomonyoka kama biskuti kuashiria ujenzi wa kiwango cha chini uliofanywa na mkandarasi husika. 
Ziara hii imekuja wakati kikao cha Bodi ya Barabara Mkoani Mwanza kilipokuwa kimeketi na kukaa na wadau wa Wizara ya Ujenzi pamoja na wakala wa ujenzi wa barabara mbalimbali mkoani Mwanza na kikao hicho kukwepa shauri la Mbunge wa ilemela la kuishauri kamati hiyo kufanya upya uthamini wa barabara hiyo kabla ya kukabidhiwa halmashauri.
Kutitia kwa tabaka la lami kumeonekana kwenye maeneo mbalimbali ya barabara hiyo na huu ni moja kati ya mifano ya kuonekana. 

Msikie Mh. Mbunge akimzungumzia mkandarasi.

soma zaidi kupitia www.gsengo.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages