MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 YAZIDI KUSHIKA KASI BEIJING CHINA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 YAZIDI KUSHIKA KASI BEIJING CHINA


Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akizungumza na Linda Ruan, Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya World Travel Online ya China katika Maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Utalii ya MIGADA Bw. Mike Ngoty (kushoto) akiwa na mkalimani wake katika banda la Tanzania akiuza utalii katika maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Wadau mbalimbali wakiwa katika banda la Tanzania wakitangaza utalii wa Tanzania katika maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China.
Wadau wanaomiliki kampuni za utalii nchini kutoka kulia Elia Richard wa Into Africa; Shabbir Khan wa Predator Safaris na Suleiman Said wa Langilangi katika banda la Tanzania kwenye Maonyesho ya COTMM 2013 jijini Beijing China. (Picha zote na mdau Pascal Shelutete, TANAPA).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages