KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

IMG_0114WaziriMkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo katika mazungumzo kati yake na Mbunge wa Sumve, Richard Ndassankwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
  IMG_0123Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akibadilishana mawazo na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola kwenye viwanja vya Buge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.  IMG_0128Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013.
IMG_0130Waziri Mkuu, Mizego Pinda akiteta na wabunge Kangi Lugola wa Mwibara (wapili kulia)  na Leticia Nyerere wa Viti Maalum (kushoto)  na Agustino Masele wa Mbogwe (kulia)  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages