Mbunge wa iringa mjini Mchungaji Peter Msigwa(juu ya gari kulia)na mbunge wa ilemela Ezekiel Wenje wakiwasili iringa kwa ajili ya mkutano mkubwa wa hadhara jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod
Slaa(juu ya gari Kulia na Mbunge wa Chadema Ubungo John Mnyika wakiwa
kwenye msafara wa kuelekea kwenye mkutano mkubwa wa hadhara iringa mjini
Jana
Mbunge wa Mbeya mjini- Joseph mbilinyi aka Sugu akiunguruma kwenye mkutano mkubwa wa hadhara wa chadema kwenye viwanja vya Uwanja wa
Mwembetogwa iringa jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa
Akiunguruma mbele ya mamia ya wafuasi wa chadema kwenye mkutano mkubwa
wa hadhara kwenye viwanja vya Uwanja wa
Mwembetogwa iringa jana
Katibu Mkuu wa Chadema Dr Wilbrod Slaa
Kushoto akipitia katiba kwenye mkutano mkubwa wa hadhara uliyofanyika
iringa jana kulia kwake ni mbunge wa jimbo la ubungo Mh John Mnyika
Sehemu ya mamia ya wafuasi wa chadema wakisiliza hotuba mbalimbali kutoka kwa viongozi mbalimbali wa chama hicho viwanja vya Uwanja wa
Mwembetogwa iringa jana. Picha Zote na Chadema na Said Ng’amilo
--
Mbunge wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa
amemlipua kigogo mmoja wa juu wa CCM (jina tunalihifadhi kwa kuwa
hakupatikana kujibu tuhuma hizo), kuwa ndiye kinara wa biashara haramu
ya pembe za ndovu na utoroshaji wa wanyama nchi za nje.
Akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa
Mwembetogwa, Iringa jana, Mchungaji Msigwa alisema anashangaa Serikali
ya CCM kushindwa kumchukulia hatua.
Mchungaji Msigwa alidai kuwa tembo
wapatao 75 wamekuwa wanauawa kila siku kutokana na tatizo hilo kufumbiwa
macho na Serikali.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.......
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)