KAMPUNI YA NDEGE YA FLIGHTLINK YAFANYA KWELI MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 JIJINI BEIJING - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KAMPUNI YA NDEGE YA FLIGHTLINK YAFANYA KWELI MAONYESHO YA UTALII YA COTMM 2013 JIJINI BEIJING

mu2Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akiwa katika picha ya pamoja na na mmoja wa washiriki wa maonyesho hayo kutoka nchini humo mu3 
Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akizungumza na wageni mbalimbali waliomtembelea meza yake kwenye banda la Tanzania katika maonyesho ya utalii ya COTMM 2013 jijini yanayofanyika jijini Beijing China
  mu5 
Mkurugenzi wa Kampuni ya ndege ya Flightlink Capt. Munawer Dhirani akimkabidhi jarida maalum la kampuni yake ya Flightlink ofisa wa ubalozi wa Tanzania nchini China wakati alipotembelea katika banda la Tanzania

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages