Vijana Wa Ulinzi wakimzuia Mfanyabiashara mdogo mdogo katika fukwe za bahari ya Hindi katika Fukwe za Sunrise Kigamboni
Biashara ikiendelea katika fukwe za Sunrise
Haya sasa Sijui ndio hirizi mkoni hapo au mbwembwe tu
Wakijivinjari na kupunga upepo mwanana kutoka bahari ya hindi
Kunguru weusi ndani ya Ufukwe wa Sunrise beach
Mzee wa Rambaramba akisubiria wateja ndani ya ufukwe wa bahari ya hindi jioni ya leo
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)