Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika bwawa la Viboko Mikumi National Park.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 wakiwa katika bwawa la Viboko Mikumi National Park.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 walioshinda Tuzo mbalimbali za Utalii na Utamaduni zilizofanyika Mikumi National Park.
Washiriki
wa Miss Utalii Tanzania 2012-13 walioshinda Tuzo mbalimbali za Utalii
na Utamaduni zilizofanyika Mikumi National Park.wakiwa na wahifadhi.
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Mikumi Conferance Tourism, Vestina Jax(Miss Utalii Dar es Salaam
2)
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Cultural Tourism, Nusura Said(Miss Utalii Simiyu).
Kaimu Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya Marin Park, Baby Juma(Miss Utalii Mtwara).
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Forest Service, Flora Kazungu(Miss Utalii Vyuo Vikuu)
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Mount Kilimanjaro, Anna Pogali(Miss Utalii Kilimanjaro)
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Ngorongoro Creater, Erica Elibariki(Miss Utalii Dodoma).
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Sport Tourism,Hellen Mhando(Miss Utalii Tanga).
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Serengeti Migration, Neema Kanafunzi(Miss Utalii Rukwa)
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Tour Oparetor, Valelia Samsoni(Miss Utalii Kagera).
Kaimu Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi tuzo ya WildLife, Hadija Saidi(Miss Utalii Morogoro)
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Bee keeping, Magreth Michael(Miss Utalii Tabora).
Kaimu
Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mikumi, Dattomax Sellanyika, akimkabidhi
tuzo ya Community Service, Sabrina Minja (Miss Utalii Shinyanga).
Kambi Mpya ya Miss Utalii Tanzania 2012/13 imeanza kwa kasi
mpya Baada ya washiriki Kumi na nne kupata Tuzo za Utalii Tanzania.
Mchakato wa kutoa tuzo hizo mbalimbali ikiwemo za Utalii
ulianzia Dar Live Mbagala Dar es Salaam ambapo alipatikana Mshindi wa Tuzo ya
Vipaji (Tallent Award) alichukua Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka mkoa wa
Manyara, Baada ya hapo alipatikana Mshindi wa Tuzo ya Uandishi na Mawasiliano
ya Umma (SJMC Media Award) iliyofanyika Katika Chuo Kikuu Cha Dar es
salaam-Shule kuu ya Uandishi na Mawasiliano kwa uma ambapo ilichukuliwa na Miss
Utalii Tanzania 2012 kutoka Mkoa wa Arusha ambaye pia alipata nafasi ya Kusoma
katika Chuo hicho.
Mchakato wa kupata Tuzo zengine uliendelea ambapo washiriki
Wengine Kumi na nne walipata Tuzo zao, Tuzo mbili za awali ambazo zilichukuliwa
na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa katavi alipata Domestic Tourism
Award, na tuzo ya pili ilikuwa ni ya National Parks Tourism award ambayo
ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Lindi. Tuzo zote
hizo zilitolewa katika Hifadhi ya Taifa ya Saadani (Saadani National Park)
ambapo pamoja na kutoa tuzo hizo kuliambatana na Burudani kabambe ya ngoma za
asili iliyo tolewa na Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13.
Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa katika
hifadhi ya Taifa ya Mikumi kutembelea vivutio mbalimbali vinavyo patikana
katika Hifadhi hiyo, walifanya tena Show maalum ya Burudani ya Ngoma za asili
pamoja na Kutoa Tuzo zengine Kumi na Mbili kwa washiriki Mbalimbali wa Miss
Utalii Tanzania 2012/13.
Tuzo
ambazo zilitolewa ilikuwa ni pamoja na Mikumi Conference Tourism Award
ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Dar
es salaam 2, Cultural Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii
Tanzania 2012/13 kutoka mkoa wa Simiyu ,Marine Park Tourism Award ambayo
ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Mtwara,
Forest Services Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii
Tanzania 2012/13 kutoka kutoka Vyuo vikuu, Mount Kilimanjaro Tourism
Award ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa
Kilimanjaro,Ngorongoro Crater Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss
Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Dodoma, Sports Tourism Award
ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa
Tanga, Serengeti Migration Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss
Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Rukwa, Tour Oparator Tourism
Award ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa
Kagera, Wildlife Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii
Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Morogoro, Bee Keeping Tourism Award
ambayo ilichukuliwa na Miss Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa
Tabora na Community Services Tourism Award ambayo ilichukuliwa na Miss
Utalii Tanzania 2012/13 kutoka Mkoa wa Shinyanga.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)