Jeshi la Ulinzi la WananChi wa Tazania (JWTZ) kwa masikitiko makubwa linapenda kuwatangazia Wananchi wote kifo cha Jane Tumainieli mke wa Generali Tumainieli Kiwelu ambaye amefariki dunia tarehe 05 Aprili 2013 akipata matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini India. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Jeshi la Ulinzi la WananChi wa Tazania (JWTZ) kwa masikitiko makubwa linapenda kuwatangazia Wananchi wote kifo cha Jane Tumainieli mke wa Generali Tumainieli Kiwelu ambaye amefariki dunia tarehe 05 Aprili 2013 akipata matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini India.

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
Jeshi la Ulinzi la WananChi wa Tazania (JWTZ) kwa masikitiko makubwa linapenda kuwatangazia Wananchi wote kifo cha Jane Tumainieli mke wa Generali Tumainieli Kiwelu ambaye amefariki dunia tarehe 05  Aprili 2013 akipata matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini India.

Mwili wa marehemu utawasili nchini tarehe 09 Aprili 2013 saa 08.55 mchana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,Dar es Salaam.

Mazishi yanatarajiwa kufanyika nyumbani kwake Mbezi Louis Morogoro Road tarehe 10 Aprili 2013,  kuanzia saa 7.00 mchana.

Kwa taarifa za ziada wasiliana kupitia – Simu No: 0764-742161.

Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
SLP 9203, Simu: 022 215056/62
Email:ulinzimagazine@yahoo.co.uk

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages