GUNDI YATUMIKA KAMA KILEVI NA MTOTO WA MITAANI MKOANI DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

GUNDI YATUMIKA KAMA KILEVI NA MTOTO WA MITAANI MKOANI DODOMA

Mtoto ambaye jina lake halikuweza kupatika mara alikutwa na kamera yetu akiwa anavuta gundi kama kilevi katika Manispaa ya Dodoma Mwishoni mwa Wiki iliyopita. Tabia hii ya watoto wa mitaani kuvuta gundi imekua ndio kawaida na hatimaye kupelekea watoto hawa wa mitaa kuwa ndio staili yao ya maisha na kutumia Gundi kama kilevi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages