DALADALA LAPINDUKA MAENEO YA MIVINJENI JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI HII - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DALADALA LAPINDUKA MAENEO YA MIVINJENI JIJINI DAR ES SALAAM ASUBUHI HII

1Askari wa kikosi cha usalama barabarani akijongea katika eneo la ajali mara baada ya daladala aina ya Toyota Coaster inayofanya safari zake kati ya Temeke na Posta  kupitia barabara ya Kirwa lenye namba za usajili T 935 BEN kupinduka  katika eneo la Mivinjeni jijini Dar es salaam kutokana na utelezi barabarani kufuatia mvua iliyonyesha asubuhi leo, hata hivyo katika ajali hiyo basi hilo halikuwa na abiria hakuna aliyepoteza maisha ila konda amepata majeraha kidogo na kupelekwa hospitali 2Wananchi wakiangalia mara baada ya kutokea kwa ajali hiyo leo asubuhi 3 4Breakdown akiwa tayari kwa kunyanyua gari hilo na kuliondoa katika eneo la ajali 5Wafanyakazi wakifunga minyororo tayari kwa kulinyanyua gari hilo.Picha Kwa Hisani ya Full Shangwe Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages