BLOGGERS FC YAISAMBARATISHA DSJ KWA MAGOLI 3 KWA 2 KATIKA MICHUANO YA MEDIA DAY INAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

BLOGGERS FC YAISAMBARATISHA DSJ KWA MAGOLI 3 KWA 2 KATIKA MICHUANO YA MEDIA DAY INAYOFANYIKA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS

Hiki ndio kikosi cha Bloggers FC kilichoisambaratisha DSJ kwa magoli 3 kwa 2 Dhidi ya Timu ya DSJ katika Michuano ya Media day inayoendelea kufanyika katika viwanja vya leaders clubs jioni hii
Wachezaji wa Bloggers Fc (wenye jezi za blue) wakichuana na wachezaji wa DSJ langoni mwa timu ya DSJ wakati timu hizo zikichuana katika michuano ya MEDIA day inayofanyika katika viwanja vya leaders jioni hii
Mchezaji wa Bloggers FC Josephat Lukaza (aliyeshika nguzo ya goli) akimsadia mlinda mlango wake Othman Michuzi (mwenye jezi ya njano) katika kuokoa hatari iliyopigwa langoni mwa timu ya bloggers fc na wachezaji wa DSJ katika michuano ya media day inayofanyika katika viwanja vya leaders jioni hii
Mchezaji wa DSJ akijaribu kupeleka mashambulizi langoni mwa Bloggers fc bila mafanikio katika michuano ya Media day inayofanyika jioni hii katika viwanja vya leaders club

Picha Zaidi Zitakujia Baadae.....Endelea Kufuatilia Lukaza Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages