Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipanda mche wa
mnazi mbele ya jengo la Jumuiya ya Tuishi la vikundi vya ushirika vya Akina
mama wa Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, alipofika kukagua ujenzi wa Jengo
la jumuiya hiyo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo
kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo na Maliasili wakati alipowasili
katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini Unguja,kuangalia athari za
kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa Kusini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na viongozi wakati
alipowasili katika bonde la Mpunga la Muyuni Wilaya ya Kusini
Unguja,kuangalia athari za kilimo cha Mpunga,akiwa katika ziara Mkoa wa
Kusini Unguja
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwapungia
mkono wanavikundi vya ushirika wa Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya
Kibigija, waliomkaribisha kwa maandamano alipofika kukagua ujenzi wa Jengo la
jumuiya hiyo,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
Mbunge wa Jimbo la
Muyuni CCM,pia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimatifa Mahadhi
Juma Maalim,alipokuwa akitoa tamko la mchango wake wa Shilingi Millioni mbili
za Kitanzania,wakati wa Harambee ya kukamilisha Ujenzi wa jengo la Jumuiya ya
Tuishi Jambiani Mbuyuni Shehia ya Kibigija, katika ziara ya Rais , Mkoa wa
Kusini Unguja jana.
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipokuwa
akizungumza na wanavikundi vya ushirika wa Jumuiya ya Tuishi Jambiani Mbuyuni
Shehia yaKibigija,alipofika kuangalia maendeleo ya Ujenzi wa Jengo hilo jana, akiwa
katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
Msoma risala ya wananchi na wakulima wa
Bonde la Mpunga Muyuni Marium Mwinyi,mbele ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, alipofika katika
shehia hiyo kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na
jua kali,akiwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea risala ya
wananchi na Wakulima wa Muyuni,kutoka wa Marium Mwinyi, alipofika katika shehia
hiyo kuangalia athari za mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa
katika ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja jana
Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na
Wananchi na Wakulima wa Muyuni,alipofika katika shehia hiyo kuangalia athari za
Kilimo cha Mpunga uliopata matatizo ya kuungua na jua kali,akiwa katika ziara yaMkoa wa
Kusini Unguja jana.Picha na Ramadhan Othman-Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)