Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakifanya mahojiano na mtangazaji wa
Radio Vatican, Padri Richard Mjigwa (katikati) kweye moja kati ya
studio za Raido hiyo Mjini Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Diuniani, Papa Francis 1 Machi 20, 2013
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakiongozwa na Padri Alquine
Nyirenda wa Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa Benedikti, Roma kutoka
kwenye Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma walikohudhuria sherehe za
kumsimikwa kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis 1 kwenye
viwanja vya Kanisa hiloMachi 19,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kulia) wakipata maelezo
kuhusu historia ya Kanisa Kuu la Mtakatifu Petro la Roma kutoka kwa
Padri Alquine Nyirenda wa Makao Makuu ya Shirika la Watawa wa wa
Benedikti, Roma walikohudhuria sherehe za kusimikwa Kiongozi wa Kanisa
Katoliki Duniani, Papa Francis, Machi 202013. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Umoja wa Mtaifa la Chakula (FAO), Jose Graziano da Silva wakati
alipotembelea Makao Makuu ya Shirika hilo Mjini Roma, Machi 20, 2013. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisikiliza jambo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva
kabla ya kusaini kitabu cha wageni baadae walifanya mazungumzo yao
katika makao makuu ya FAO mjini Roma, Machi 20, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Chakula la Umoja wa Mataifa, FAO Bw. Jose Graziano da Silva baada ya
mazungumzo yao wakati alipotembelea makao makuu ya FAO mjini Roma,
Machi 20, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)