WATUMISHI WANAWAKE WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WATUMISHI WANAWAKE WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WASHEHEREKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

 Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakianza maandamano nje ya ofisi ya wizara hiyo kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa.
Watumishi Wanawake wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja nje ya ofisi za wizara hiyo kabla ya kuanza maandamano kuelekea katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe jijini Dar es Salaam. Aliyevaa koti mbele ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa wizara hiyo, Lilian Mapfa. PICHA ZOTE NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI, WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages