WATU NA VIPAJI VYAO: KAMA UNA KIPAJI IEJE UFE NA NJAA: - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WATU NA VIPAJI VYAO: KAMA UNA KIPAJI IEJE UFE NA NJAA:

Kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja alitokea kuwa kivutio kwa umati wa watu ambao walikua wakishuka katika daladala katika kituo cha daladala cha Segerea baada ya kuonyesha kipaji ambacho kwa uhakika ni vichache sana kugundulika.Kijana huyo aliweza kuvimbisha mashavu kwa kiwango cha juu sana ambapo kwa mtu wa kawaida asingeweza lakini achilia mbali kuvimbisha mashavu lakini pia alikua akionyesha kipaji chake cha kucheza mziki wa aina yoyote wakati wa matangazo ya promosheni ya simu aina ya samsung yalipokuwa yakifanyika katika kituo Cha Daladala Cha Segerea Juzi.
Wakubwa kwa Wadogo walitokea kuvutia na kazi aliyokuwa akiifanya kijana pichani hapo juu wakati akionyesha vipaji vyake na kupelekea watu waliokuwa wakishuhudia kuvutia na anachokifanya na kusimama kumtazama.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages